
Kikubwa zaidi the songbird is apparently dating one of the hottest models in Tanzania, Jackie Cliff. Kama humfahamu vizuri Jackie anaonekana kwenye video za nyimbo kadhaa za Bongo Flava zikiwemo Nataka Kulewa wa Diamond na She got a gwan wa Ngwair!
Kupitia akaunti ya Instagram Jackie amepost picha akiwa na Jux na kuandika, “Dinner date with @juma_jux in Garden hotel.”
Na pia Jux kwenye akaunti yake amepost picha ya Jackie akijaribisha kuvaa viatu vyake (Jux) na kuandika, “baby tryn them #me Jordans…#dope though.”
No comments:
Post a Comment