Thursday, March 14, 2013
MSANII ALALAMIKIA KUIBIWA JINA
Msanii chipukiz kutoka arusha ...G Ramo alalamika kutumika kwa jina lake ..naanamshutumu jose braiz producer ambaye alihuska kumtengenezea beat ya kibao kinacho iitwa haijalishi ambayo vocal ifanyika fnouk studio arusha...baada ya kutumiwa nyimbo...msanii ambaye yupo chin ya street sound wakaamua kuchakachua jna na kujiita Q Ramo ambalo amechukua kutoka kwa G RaMo
LINK&SOCIALIZE WITH GNAKO FROM WEUSI
Download Gnako Songs HERE
Gnako & Watengwa-Bado Muda Kidogo-- http://www.hulkshare.com/f5ne0s1pnbpc
Gnako ft Johmakini-Juu Ilipo-- http://www.hulkshare.com/e2fq2vrn2w3k
Gnako NickMweusi Adili & Rama Dee-Kikazi Zaidi-- http://www.hulkshare.com/5xai1kho2o74
Gnako & NickMweusi-Headache-- http://www.hulkshare.com/tkt51lz7aq68
Gnako & Chindo ft Banx-Right Here-- http://www.hulkshare.com/tocgtkqacgsg
Gnako ft Ben Pol-Mama Yeyo-- http://www.hulkshare.com/8gpfeyp14jk0
Gnako-Bado Ngware (RMX)-- http://www.hulkshare.com/vyud613bdo1s
Gnako & Other Artists-Wazi-- http://www.hulkshare.com/6swg0emhizcw
Gnako ft The Artist & AY-Take Off-- http://www.hulkshare.com/k53b3ayll728
follow @gnakowarawara & Like http://www.facebook.com/pages/G-Nako/271170083433?ref=ts&fref=ts

SOLO THANG _ft_ GODZILA_UWEZO MIA MIA
Baada ya kutamba sana na tngoma ya miss Tanzania kwa sasa Mc nguli wa Hip hop bong SOLO THANG ameachia Video yake mpya aliyomshilikisha Godzilla aliyoiita UWEZO MIA
HEINEKEN KUPELEKA MBONGO KUCHEKI FAINALI YA UEFA 2013
0
Heineken
Tanzania waliandaa bonge la party lililofanyika Akemi City Centre Dar
es salaam kuanzia saa moja usiku march 13 2013 na kufatiwa na utazamaji
wa mechi za UEFA moja wapo ikiwa Bayern vs Arsenal, mimi kama mmoja wa
walioalikwa… napenda kusema nilienjoy!!
E.Kibonde kutoka Jahazi la Clouds FM ndio alikua muongozaji.
Kala jeremiah_ft_BEN PAUL_KARIBU DAR
baada ya kufanya vizuri sana na Dear God Kala jeremiah ameachia ngoma yake mpya aliyipa jina ya KARIBU DAR akiwa amemshirikisha BEN PAUL download hapa
Subscribe to:
Posts (Atom)