
Heineken
Tanzania waliandaa bonge la party lililofanyika Akemi City Centre Dar
es salaam kuanzia saa moja usiku march 13 2013 na kufatiwa na utazamaji
wa mechi za UEFA moja wapo ikiwa Bayern vs Arsenal, mimi kama mmoja wa
walioalikwa… napenda kusema nilienjoy!!

Mr Uche ambae ndio boss wa Heineken Tanzania.

Warembo waliotumia time yako kuhakikisha watu wanaenjoy kwa kuhudumiwa vitu mbalimbali.

E.Kibonde kutoka Jahazi la Clouds FM ndio alikua muongozaji.

Team kutoka Push Mobile Tanzania.

Brothers and sisters wakienjoy

.

Kwa mbali anaonekana mtangazaji Salama Jabir na washkaji akiwemo Patric Nyembera wa EATV

.

.

..

Hivi vilikua sehemu ya party pia, huku watu wakichek mechi ya Bayern vs Arsenal.

.

.

(Salute kwa Abdul Mohamed ambae ndio amepiga hizi picha zote)

No comments:
Post a Comment