Wednesday, February 13, 2013
DMX TENA KIZIMBANI
AMUUNGUZA MKEWE USON KWA PASI
Mbele ya hakimu
Asha Mwetindwa, imedaiwa na mwendesha mashitaka inspekta msaidizi wa
polisi Shukurani Magafu kuwa, mshitakiwa amefanya kosa hilo usiku wa
februari saba mwaka huu, katika eneo la Ipembe Tarafa ya Mungumaji,
mjini Singida.
Hata hivyo
hakimu Mwetindwa amesema dhamana ipo wazi kwa mshitakiwa, kwa wadhamini
wawili ambao kila mmoja awe na Sh. Milioni tano na shauri hilo litatajwa
tena mahakamani hapo februari 25, mwaka huu.
SIKU YA RADIO DUNIANI WATANZANIA WAONEKANA KUIHUSUDU SANA RADIO KULIKO TV KULUIKONI
Ikiwa
leo ni siku ya REDIO DUNIANI baadhi ya wasikilizaji wa chombo hicho
wameelezea mchango mkubwa unaotolewa na redio katika mambo mbali mbali
ya kijamii huku wengine wakishauri watayarishaji na watangazaji
kujitahidi kutunza maadili ya Kitanzania katika kutoa matangazo yao kwa
jamii.
Wakiongea katika sehemu tofauji jijini Dar wasikilizaji hao wamesema kuongezeka kwa vituo vya redio mijini na vijijini kumesaidia kuwaamsha watu wengi kimaendeleo na kuwaomba wamiliki wa vyombo hivyo kusogeza matangazo yao vijijini ili Watanzania walioko huko waweze kuendelea kupata matangazo hayo kutokana na watazamaji wa televisheni kuelekea kushindwa kufatilia matangazo hayo kwa kukosa fedha za kununulia vingamuzi na kutegemea redio
Wakiongea katika sehemu tofauji jijini Dar wasikilizaji hao wamesema kuongezeka kwa vituo vya redio mijini na vijijini kumesaidia kuwaamsha watu wengi kimaendeleo na kuwaomba wamiliki wa vyombo hivyo kusogeza matangazo yao vijijini ili Watanzania walioko huko waweze kuendelea kupata matangazo hayo kutokana na watazamaji wa televisheni kuelekea kushindwa kufatilia matangazo hayo kwa kukosa fedha za kununulia vingamuzi na kutegemea redio
NGOMA YA ROMA YAMKERA SUGU a.k.a MR.2
Akizungumza katika kipindi cha TV wiki iliyopita Sugu amesema kuwa msanii huyo anapaswa kuijua misingi ya hip hop na pia Sugu amemuonya na kumtaka roma awe muangalifu na anachokiandika na kukitowa kwa jamii na sio kukurupuka kama mtu aliyestuliwa toka usingizini
Sugu
amesema yeye ni mfuasi wa hip hop hivyo ukitaka kuwa mwana hip hop
lazima uzame ndani sana ili ukiandika kitu uwe na uhakika nacho na si
kufanya kama Roma anavyofanya.Namtahadharisha bwana mdogo awe
muangalifu na anachokiandika na si kukurupuka hip hop ina misingi yake
na ni lazima uzame ndani sana maana hip hop ni maisha na ukweli
mtupu, pia aelewe hip hop ni sauti ya kumkombowa mnyonge sasa
unapoimba mambo ambayo huna uhakika nayo haipendezi maana utakuwa
hujaisaidia jamii husika alisema sugu.
Katika wimbo huo wa 2030 kuna kipande kina sema pesa ndio imemaliza vita yaRuge na Sugu kitu ambacho kimeonyesha kumkera Sugu na kusema
kuwaRoma anakurupuka na kuandika asichokijua maana kwa mstari huo tu
umefanya niaamini kila achoandika hana anachokijua maana mstari huu
unanihusu na hakuna ukweli juu ya alichokiimba.
Sugu amemtaka Roma kusikiliza nyimbo walizoimba kaka zake ili zimuongoze katika sanaa yake amesema asikize nyimbo kama za profesa jay,afande sele,solo thang atagunduwa kuwa zilikuwa ni harakati za uhakika mfano mdogo amesema asikilize miss Tanzania ya Solo Thang atajua anachomaanisha.
Roma alipotafutwa kujua amejisikiaje baada ya mheshimiwa kuchukizwa na wimbo wake Roma alisema Sugu ni kaka yake na anaamini kama kuna baya atamuita na atamrekebisha.
Subscribe to:
Posts (Atom)