Ommy Dimpoz na
Vanessa Mdee
baada ya kwenda Nairobi kwa ajili ya utengenezaji wa video yao mpya 'Me
n You' chini ya production ya Ogopa video. Sasa usiku wa kuamkia leo
Ommy Dimpoz alikuwa akiizindua rasmi video yake mpya kwa mashabiki
wake.Huku wakisindikizwa na
Mwana FA,Dully sykes,Diamond Platinum.
Hizi ni baadhi ya picha za maisha club katika uzinduzi huo wa video mpya Me n You.


Mtangazaji wa Clouds Tv Ciezer Daniel (KULIA) akiwajibika wakati wa
shoo ya uzinduzi wa kichupa cha ngoma me&u cha Ommy Dimpoz ndani ya
club Maisha. hapa alikuwa akimuhoji staa wa wimbo huo Ommy Dimpoz
No comments:
Post a Comment