Video ambayo Alicia Keys ameiachia mtandaoni kama utambulisho wa Uzinduzi rasmi wa Video yake mpya ambayo jina lake tayari limekwishaanza kuzua gumzo kubwa kila kona... Bibie huyu ameamua kuipatia video yake mpya jina "Illuminate Me".... Issue ambayo inawafanya wengi wa mashabiki zake kuzidi kumhusisha na 'Illuminati' (Jamii ya siri inayoaminika kuwa ni ya Kishetani).
Wadau wote kwa sasa wanasubiria kuona ni nini Alicia Keys atakachokifanya ndani ya 'Illuminate Me' ...so do you!!.
![]() |
Picha ya Alicia backstage masaa machache kabla ya kupanda jukwaani leo huko Los Angeles |
No comments:
Post a Comment