Showing posts with label video. Show all posts

Thursday, April 18, 2013
THE MAKING OF MUZIKI GANI VIDEO UNDER THE NEXT LEVEL PRODUCTION
Hapa Ney akiwa na maua
Diamond Platinum & Ney
Dj Ommy Crazy na Dancer wa Diamond
Wasafi
Flowers katika pozi pamoja na Grace Shikide
Bebes matataaaaaaaaaa
Bebes matataaaaaaaaaaaa
Hapa wakicheza kamali huku wakiwa wana Battle
Ilikuwa poa sana
Ulimi huo eeh!
Hapa ni sehemu ya pili, eneo la Urafiki
Majembe ya Manzese
Chagua moja
Halla!
Utaipenda tu
Diamond akijiandaa huku Hassbaby akiwa anapiga Drums na Bebes zikimzunguka
Wananchi waliojitokeza kushuhudia
Baadhi ya wana ambao nao waliweza kutoa support, Samwel na wengine
Hahaha hapa Diamond alitaka ajaribu na yeye kupiga Drums ikabidi nimuachie, kama kaipenda Mkong'oto Jazz Band hivi eeh!
Ney akiwa tayari kwa ku shoot
Ommy
Ney kazini
Diamond mzigoni
Chezea watoto wa mjini wewe utaumia
MLIPUKO MWINGINE WAITESA WAIKUMBA MAREKANI
Zaidi ya watu 100 wamejeruhiwa katika mulipuko
uliotokea kwenye kiwanda cha mbolea kilichoko Kaskazini Magharibi mwa
eneo la Waco, jimbo la Texas. Wengi wamekwama ndani ya majengo
yanayendelea kuteketea kufuatia mulipuko huo.
Meya wa Mji kulitokea mulipuko huo, Tummy Muska
ameelezea kutokea moto mkubwa uliolipuka sawa na bomu. Mulipuko huo
umeharibu majengo ya kiwanda hicho, makaazi ya karibu kikiwemo kituo
kimoja cha afya.Taarifa zinazohusiana
Majengo kadhaa yameendelea kuteketea karibu na kiwanda hicho cha mbolea.Taarifa ambazo hazijathibitishwa zinasema zinasea kuna watu waliopoteza maisha.
Amesema kufikia sasa hawezi kuthibitisha vifo vyovyote. Watu 38 wameripotiwa kua katika hali mahututi. Makundi ya wokozi yameanza kufika nyumba hadi nyingine kuwaokoa majeruhi na kutoa huduma ya kwanza.
Kituo cha Dharura kimewekwa kwenye uwanja wa mpira ulioko karibu.Gavana wa Texas amesema afisi yake imetoa raslimali zake kusaidia katika juhudi za wokozi.
Naibu Spika wa Bunge JOB NDUGAI
amemtoa nje ya Bunge kwa muda wa siku tano Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi
ya Upinzani Bungeni TUNDU LISSU kwa madai ya utovu wa nidhamu na
kuanzisha majibizano bungeni kitendo kinachokiuka kanuni za bunge.
Wengine ambao wamepewa adhabu hiyo ya kutohudhuria vikao vya bunge kwa siku tano ni Mbunge wa Mbeya Mjini JOSEPH MBILINYI, Mbunge wa Arusha Mjini GODBLES LEMA, Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji PETER MSIGWA, Mbunge wa Nyamagana EZEKIA WENJE na Mbunge wa Ilemela HIGHNES KIWIA ambao walikuwa wakiwazuia askari wa bunge kumtoa nje LISSU.
Namkariri Naibu Spika akiongea Exclusive na millardayo.com nje ya bunge akisema “nimemuonya zaidi ya mara kumi kwa jioni ya leo peke yake kwamba demokrasia ya kibunge ni ya kuwapa watu wengine nao nafasi ya kusikika, kila anaesimama anakatishwa yeye kasimama dakika zake zote amekatizwa na kina nani? kinachokosekana kwenye bunge hili ni uvumilivu wa kumsikiliza mwingine, watu wanapenda kumshambulia mwingine lakini hawako tayari kusikiliza wengine wakiwajibu, tunalaumiwa na kila mtu….. hata hatua nilizozichukua ni hatua ndogo tu”
Kabla ya uamuzi wa kutolewa nje ya Viwanja vya bunge haujatolewa, Mbunge wa Iramba Magharibi MWIGULU NCHEMBA ndiye aliyekuwa akichangia Bajeti ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ambapo namkariri hapa akisema “mimi ni ninachokumbuka labda watu wengine kumbukumbu sijua wanakua na hangover gani, kitu ninachokitambua kwamba Rais amekua mtu wa kwanza kukemea jambo la udini, kuna mgombea wa chama kimojawapo alikua anakwenda anaongea na baadhi ya Viongozi wa kidini kama ndio viongozi na mikutano ya ndani ya chama chake, hili linakubalika wapi? wakari CCM inatumia mabalozi, wenyeviti wa tawi…..”
Mbunge wa Longido LEKULE LAIZER ni kama ametabiri kutokea kwa jambo hilo kabla kwani wakati anachangia amepinga vitendo vya vurugu bungeni hali iliyopelekea kuwakumbuka wabunge wa zamani, namkariri akisema “hivi Mbunge mwenzako anapoongea unaanza kumzomea unafikiria nini? hatujawahi kufikia kiwango hiki”
Sekunde chache kabla ya Naibu Spika kuagiza Tundu Lissu atolewe, alisema “Mh Tundu Lissu sijui ni huu ugeni wa kuwa bungeni, ndio lazima nitoe maoni yangu kama kiongozi… unakuwa wewe ni sehemu ya kufanya vurugu ndani ya bunge? nasema hivi…. askari toa nje Tundu Lissu, askari wakwapi…. toa nje”
Wakati Naibu spika akitoa hilo agizo, wabunge wengine kadhaa walisikika wakisema…. “haiwezekani…… huo ni ubabe…. ubabe ubabe…. polisi, tutoke wote…..” unaweza kuwasikiliza
hapa chini..

ALICHOTWEET MH.ZITO KABWE KWENYE TWITTER
Mbunge unashangilia nchi kupewa misaada? Misaada Kwa nchi tajiri namna hii? Masharti yake huyu mbunge anajua? #IdeologicalBankruptcy
Retweeted 12 times
Expand
Friday, April 12, 2013
Monday, February 11, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)

Zitto Zuberi Kabwe