Advertise here

Thursday, March 14, 2013

DOWNLOAD SUMA MNAZALET_ft_TUNDA MAN_TUKO WANGAPI

DOWNLOAD JUX_UZURI WAKO

DOGO JANJA AKILA BATA CAPE TOWN

akili the brian_Nakuogopa (official Video)

SOLO THANG _ft_ GODZILA_UWEZO MIA MIA

Baada ya kutamba sana na tngoma ya miss Tanzania kwa sasa Mc nguli wa Hip hop bong SOLO THANG ameachia Video yake mpya aliyomshilikisha Godzilla aliyoiita UWEZO MIA

HEINEKEN KUPELEKA MBONGO KUCHEKI FAINALI YA UEFA 2013



0
.
Heineken Tanzania waliandaa bonge la party lililofanyika Akemi City Centre Dar es salaam kuanzia saa moja usiku march 13 2013 na kufatiwa na utazamaji wa mechi za UEFA moja wapo ikiwa Bayern vs Arsenal, mimi kama mmoja wa walioalikwa… napenda kusema nilienjoy!!
.
Mr Uche ambae ndio boss wa Heineken Tanzania.
.
Warembo waliotumia time yako kuhakikisha watu wanaenjoy kwa kuhudumiwa vitu mbalimbali.
.
E.Kibonde kutoka Jahazi la Clouds FM ndio alikua muongozaji.
.
Team kutoka Push Mobile Tanzania.
.
Brothers and sisters wakienjoy
.
.
Kwa mbali anaonekana mtangazaji Salama Jabir na washkaji akiwemo Patric Nyembera wa EATV
Kwa mbali anaonekana mtangazaji Salama Jabir na washkaji akiwemo Patric Nyembera wa EATV
.
.
.
.
..
..
.
Hivi vilikua sehemu ya party pia, huku watu wakichek mechi ya Bayern vs Arsenal.
.
.
.
.
.
(Salute kwa Abdul Mohamed ambae ndio amepiga hizi picha zote)
. . .

HILI NDILO GARI LA PRODUCER LAMAR ALILONUNUA KWA JAY DEE



0
.
Baada ya kulinunua Lamar aliamua kulibadilisha muonekano, akalipimp kihivi.
.
.
.
.
Lamar 1
.
Huu ndio muonekano wa hili gari wakati likimilikiwa na Lady JayDee.
.