BAADA YA MZIGO WA LIFE IS GOOD KUFANYA OKONI SASA TAYARI KUANZA KUREKODI ALBUM YA 12
Mkali
aliyetajwa na CNN kama mwandishi bora wa mashairi Legend kutoka Queens
Bridge Nas yuko tayari kuanza kurekodi album yake ya 12 baada ya “Life
Is Good” album ambayo ilitoka Juli 2012. Pia Nas ametaja album
alizozipenda mwaka 2012 ikiwemo ya mkali kutoka Compton Kendrick Lamar
Good Kid M.A.A.A.D City na ya Meek Mill “Dream & Nightmares.
Akipiga
stories na AP na Esco alisema ameshaanza kufanyia kazi lbum yake
inayokuja ya ikiwa ni album ya 12. “Niko pazuri kwa sasa kuanza kufanya
album yangu ya 12” alisema mkali Nas.
crissgera.blogsport.com.
No comments:
Post a Comment