Ommy
Dimpoz na Vanessa Mdee wakisindikizwa na AY, jana wamewasili salama
jijini Nairobi Kenya ambako wameenda kushoot video ya Me and You.
Video hiyo inafanywa na kampuni ya Ogopa Dj’s ambayo hivi karibuni
ilishoot video ya Diamond, Kesho. Me and You ni single ya tatu ya Ommy
yenye mafanikio makubwa.
No comments:
Post a Comment