STARS YAWAPIGISHA KWATA WACAMEROON UWANJA WA TAIFA
DDk 90 FULL TIME! Taifa Stars 1-0 Cameroon.
Timu ya Tanzania Taifa Stars imefanikiwa kuwapa raha Watanzania baada ya kuwagalagaza Cameroon kwa goli moja sifuri. Ni Mbwana Samatta aliifungia Taifa Stars bao la kuongoza mnamo dakika ya 89 akiunganisha krosi ya Erasto Nyoni.
No comments:
Post a Comment