Ni nyakati nyingine za kuwapa heshima vijana wetu na kuinua sanaa ya Tanzania,mwaka jana kilinuka katika tuzo za KILIMANJARO MUSIC TZ , lile janaga limerudi tena .....................................
Mpigie kura ya kuingia katika category ya mtayarishaji bora wa mwaka JOSE BRIAZ BEATS ,huyu jamaa keshafanya kazi kibao na zimehiti vilivyo..........kama NATAMANI YA SINGLE J,..NANG'ARA YA DAYANA.....
Kumpigia kura JOSE BRAIZ BEATS kuingia katika category ya mtayarishaji bora wa mwaka ,kwa njia ya simu ANDIKA 28 JOSE BRAIZ BEATS TUMA KWENDA NAMBA 15440,...>>>>>>
AU TEMBELEA TOVUTI YA KTM.....www.kilitime.co.tz/ktma