Advertise here

Thursday, January 10, 2013

ROMA AFUNGUKA KUHUSU UZINDUZI WA KALA

 
YO  FELLAZ  IFIKIE  TYM  TUAMBIANE  UKWELI!!!!    MAJAMAA  WANAOIMBA  HAWA  WANATUCHANA  SANA  SISI  MANIGA  HIP HOP  KUWA  SHOW  ZETU  ZA  KIWAKI  HAZIJAZI  NA HAZINA  NYOMI  KABISA  KAMA  ZAO!!!  ILA  UKICHEKI  KUNA  KAJIUKWELI  NDANI  YAK...E.   TAZAMA  MWANANGU  DIAMOND  ANAVYOTISHAGA  NA MANYOMI  PALE  MAISHANI KILA  AKIIBUKA  KWA  SHOW, 
 
SASA  HATA  SHETA  ANAPIGA  NYOMI  PALE  MAISHA, RICH MAVOKO, SUMALEE NA KIBA  NDIO…
 
YO  FELLAZ  IFIKIE  TYM  TUAMBIANE  UKWELI!!!!    MAJAMAA  WANAOIMBA  HAWA  WANATUCHANA  SANA  SISI  MANIGA  HIP HOP  KUWA  SHOW  ZETU  ZA  KIWAKI  HAZIJAZI  NA HAZINA  NYOMI  KABISA  KAMA  ZAO!!!  ILA  UKICHEKI  KUNA  KAJIUKWELI  NDANI  YAK...E.   TAZAMA  MWANANGU  DIAMOND  ANAVYOTISHAGA  NA MANYOMI  PALE  MAISHANI KILA  AKIIBUKA  KWA  SHOW, 
 
SASA  HATA  SHETA  ANAPIGA  NYOMI  PALE  MAISHA, RICH MAVOKO, SUMALEE NA KIBA  NDIO MAMAMAMAMAMA,  UNAJUA  KWANINI?   MASHABIKI WAO WA MZIKI WAO  HAWANA USHABIKI WA  MDOMO TU!! WANAONYESHA  VITENDO!! SASA  SISI  MANIGA  HIP  HOP   SASA  TUNAONGEA  SANA  OOOH  KALA  NAKUKUBALI  ILE  DEAR  GOD  NOMA  KWELI  HATA  ROMA  HAINGII NDANI  WALA  FID  WALA STAMINA,  AAAF  HUYO  HUYO  AKIJA  KWA  ROMA  UTASIKIA  ANANAMBIA  NINJA  EE  ILE  2030  MAMAE  WAMEKAA  PALE  HAMNA  CHA  KALA  WALA  NINI!!!  AAAF  KWENYE  SHOW  HUJI  KAZI  YAKO USNICHI TU,ALBUM HUNUNUI!!
  
DEAR  GOD  NGOMA KALI SANA, TANGA  MLIKUWA  MNANILALAMIKIA  HAPAHAPA  FB NIWALETEE  ALBUM HIYO, SASA IMEKUJA  SIWAONI  DUKANI MKIIFATA!!SAWA  SIO  LAZIMA  LAKINI  KWANINI MNAKUWA  WANAFKI???SI  BORA  MKAUSHE  TUU!!   SASA  BASI  JUMAPILI  TUWE  WOTE  PALE  MAISHA  CLUB  KUNA  BONGE  LA  SHOW...SIO  TUNAWEKA  STATUS  THN WANAKOMENT  WATU MIA  KUWA WATAKUJA  AAAF  WANAKUJA  WATU  TISA!! MI  NAMAIND  COZ  HAWA  WAIMBAJI  HAWA  WANATUPIGA  SANA  BAO  KWA  NYOMI  KWENYE  SHOW  ZAO  HUSUSANI   ZA  CLUB....
 
MASHABIKI  WETU  WA  HIPAPU  KUWENI  REALLLLLLL JAMANIIII  EEEEE!! SAWA  HATUNA  HELA  MAY BE...ILA  MBONA  HELA  ZETU  KWENYE  MAMBO  MENGINE  YA  KIDUANZI  ZAIDI  ZINAONEKANA!!! OYA  JUMAPILI MAISHA  PALE  PLIZZ  lengo  ni  kujaribu  mwaka  huu  kubadilisha  mifumo  ya  vitu  vingi  ndomana  tunakuwa  wakali  kila sekta!!  na  lav  kuidumisha!! ONESee More

CHEKI KICHUPA CHA RADIO KUTOKA KWA Steve RnB Feat. Ommy Dimpoz - Radio

JUMAPILI HII HAPATOSHI CLUB MAISHANI SHOO YA KIZALEND KUTOKA KWA MZALENDO """"""PASAKA""""


Ni jumapili ya Januari 13, ndani ya Maisha Club, shoo ya kizalendo kutoka kwa mzalendo,Kallah Jelemiah, ambaye juzi kati ameachia album yake inayong'aa kitaa hivi sasa ikibeba jina la 'Pasaka', ambayo tayari mpaka sasa imeshauza kopi zaidi ya 40000 huku pia ikiwa bado itapatikana kitaani kwenye maduka kibao na kikubwa zaidi itapatikana mlangoni siku ya shoo kwa ngawira za kibongo 5000 tu.
"Ni uzinduzi wa kizalendo ndiyo maana tumeweka bei ya kizalendo buku 8000 tu kama nauli ya kuingilia ndani, soo watu waje kwa shoo kuona nini nitafanya, nafurahi sana kuzindua albamu yangu wakati huu ambao pia mashabiki wangu wamenipa sapoti ya kutosha, sitasahau jambo hili kwa kuwa ndiyo nafanya uzinduzi kwa mara ya kwanza" Kallah

NI KICHUPA KINACHOFANYA VIZURI SANA KUTOKA KWA Young D (Boma la Utete) Official Video KICHEKI

Juzi, kati tu ametoka kufanya uzinduzi wa 'kichupa ' hiki ndani ya ukumbi mmoja maraufu wa maraha hapa bongo. kwa taarifa tu ni kuwa kama hukuwa mmoja ya watu waliohudhuria uzinduzi huo shoo ilikuwa ya kijanja sana iliyoambatana na shangwe za kutosha kutoka kwa mashabiki waliofurika siku hiyo achilia mbali msukumo wa kutosha alioupata kutokakwa mastaa wengine wa bongo fleva walikuwa wamepewa shavu la kumsindikiza katika uzinduzi huokama vip Enjoy Kichupa hicho kutokakwa Yound D.

NEW BRAND VIDEO KUTOKA KWA Linah - Ushafahamu.{Official Video} KICHEKI KICHUPA HICHO

crissgera.blogsport.com

ni utangulizi kutoka kwa vanessa mdee ngoma inaitwa closer teaser itakuwa onair kuanzia kesho

ONE INCREDIBLE ATANGAZA BEI YA TRACK ZAKE

Msanii wa hip hop one incredible ameaamua kuandika kupitia page yake ya facebook  bei halali ya track zake anazaotoa 
Alitiririka hivi hapa

"Hivii wote mnaotaka track mpya mmenunua album... kama bado, nitakuwa narelease kwa malipo... nicheki kupitia 0712 684 993... kila release inauzwa 2000....TIGO PESA."

ACE HOOD ATAJA LIST YA STARVATION 2 NA KUONYESHA COVER YAKE ITAKAVYOKUWA


KUNA UWEZEKANO KUND LA HIP HOP LA G UNIT KURUDI TENA

Mkali 50 cent amesema anaweza kurudi studio kufanya kazi na original members wa G.Unit Lloyd Banks na Tony Yayo. Kwa kipindi cha miaka miwili 50 cent alirudia kwenye mahojiano kwamba yeye na washkaji Lloyd Banks na Tony Yayo wamekuwa mbali. Tumaini la G.Unit kurudi lipo. 50 cent alisema kwenye Billboard.biz kwamba walikuwa na utofauti lakini wamekuwa wanafanya mipango warudi na kuendelea kufanya kazi. Wakati wa mahojiano 50 cent aliongelea album yake inayokuja ya “Street King Immortal” itaingia dukani Februari 26. Album hiyo ambayo imekutana na mambo kibao ambayo yameifanya album hiyo ichelewe itakuwa ya kwanza toka 2009 alipoingia kwenye tafrani na Interscope kwenye mikataba.
50 cent amesema Project hiyo itakuwa na ngoma 13 – 14 na amerekodi ngoma 70 kwa ajili ya album hiyo.

BAADA YA MZIGO WA LIFE IS GOOD KUFANYA OKONI SASA TAYARI KUANZA KUREKODI ALBUM YA 12

Mkali aliyetajwa na CNN kama mwandishi bora wa mashairi Legend kutoka Queens Bridge Nas yuko tayari kuanza kurekodi album yake ya 12 baada ya “Life Is Good” album ambayo ilitoka Juli 2012. Pia Nas ametaja album alizozipenda mwaka 2012 ikiwemo ya mkali kutoka Compton Kendrick Lamar Good Kid M.A.A.A.D City na ya Meek Mill “Dream & Nightmares.
Akipiga stories na AP na Esco alisema ameshaanza kufanyia kazi lbum yake inayokuja ya ikiwa ni album ya 12. “Niko pazuri kwa sasa kuanza kufanya album yangu ya 12” alisema mkali Nas.
crissgera.blogsport.com.