Advertise here

Thursday, January 10, 2013

JUMAPILI HII HAPATOSHI CLUB MAISHANI SHOO YA KIZALEND KUTOKA KWA MZALENDO """"""PASAKA""""


Ni jumapili ya Januari 13, ndani ya Maisha Club, shoo ya kizalendo kutoka kwa mzalendo,Kallah Jelemiah, ambaye juzi kati ameachia album yake inayong'aa kitaa hivi sasa ikibeba jina la 'Pasaka', ambayo tayari mpaka sasa imeshauza kopi zaidi ya 40000 huku pia ikiwa bado itapatikana kitaani kwenye maduka kibao na kikubwa zaidi itapatikana mlangoni siku ya shoo kwa ngawira za kibongo 5000 tu.
"Ni uzinduzi wa kizalendo ndiyo maana tumeweka bei ya kizalendo buku 8000 tu kama nauli ya kuingilia ndani, soo watu waje kwa shoo kuona nini nitafanya, nafurahi sana kuzindua albamu yangu wakati huu ambao pia mashabiki wangu wamenipa sapoti ya kutosha, sitasahau jambo hili kwa kuwa ndiyo nafanya uzinduzi kwa mara ya kwanza" Kallah

No comments: