Advertise here

Monday, May 13, 2013

DOWNLOAD MARIAH CAREY ft MIGUEL-BEAUTFULL

 

mariahcareyvideo2
Check out Mariah Carey’s brand new music video for “Beautiful” featuring Miguel!

DOWNLOAD AY ft FID Q-JIPE SHAVU

DOWNLOAD SUMALEE-WANASEMA

DOWNLOAD NIKI WA PILI-NAY WAMITEGO

ZITTO KAMBWE KUGHARAMIA VIDEO YA DINI TUMELETEWA YA AFANDE SELE


Mapema asubuhi hii Mfalme wa Rhymes Afande Sele ametoa ya moyoni na kuelezea lengo lake la kutunga wimbo wa DINI TUMELETEWA kumrudisha Muafrika kwenye Uafrika na msingi wake wa UMOJA, USHIRIKIANO na UPENDO. Pia hakuwa nyuma kutoa shukrani zake kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Kabwe kwa kumuwezesha kugharamia Video ya wimbo wake huo mpya ambao unafanya vizuri sana kwa sasa.

Nanukuu "Lengo la hii kazi yangu mpya DINI TUMELETEWA ni kumrudisha mwafrika kwenye uafrika wake ambao msingi wake ni UMOJA, USHIRIKIANO NA UPENDO. Ambao kwa siku za hivi karibuni tumeshuhudia ukitoweka. Tumeona mapigano/mauaji ya itikadi za kidini wenyewe kwa wenyewe, pia kuelezea uhuru wa kuabudu kwa imani yoyote bila kuvunja sheria za Taifa letu. Kwa mtu yoyote makini mwenye mapenzi mema kwa Taifa letu na AFRIKA hawezi kupingana na hilo, kwa kutambua hilo MH; ZITTO ZUBERI KABWE(ZZK) kajitolea kugharamia gharama zote kwa ajili ya kufanikisha vidio bora kabisa ya wimbo huu, hii ni kazi yetu wote mimi na wewe, tunasema asante sana kwa Mh; Zitto. AMANI NA UPENDO KWANZA"

MSANII ANAYEONGOZA KUVAA VIZURI KIBONGO BONGO


 Jux ndie Msanii anaeongoza kwenye uvaaji wa Brand kali maarufu na zinampendeza, wapo wengi ambao wanavaa vizuri lakini Jux kwa Tanzania ni namba moja ukitaka kujua hilo jaribu kufatilia kwa makini utapata jibu.
Hizi ni baadhi ya Picha zikimuonesha Jux katika muonekano tofauti tofauti.