Advertise here

Thursday, January 10, 2013

BAADA YA MZIGO WA LIFE IS GOOD KUFANYA OKONI SASA TAYARI KUANZA KUREKODI ALBUM YA 12

Mkali aliyetajwa na CNN kama mwandishi bora wa mashairi Legend kutoka Queens Bridge Nas yuko tayari kuanza kurekodi album yake ya 12 baada ya “Life Is Good” album ambayo ilitoka Juli 2012. Pia Nas ametaja album alizozipenda mwaka 2012 ikiwemo ya mkali kutoka Compton Kendrick Lamar Good Kid M.A.A.A.D City na ya Meek Mill “Dream & Nightmares.
Akipiga stories na AP na Esco alisema ameshaanza kufanyia kazi lbum yake inayokuja ya ikiwa ni album ya 12. “Niko pazuri kwa sasa kuanza kufanya album yangu ya 12” alisema mkali Nas.
crissgera.blogsport.com.

No comments: