Advertise here

Friday, January 18, 2013

HUYU SIO KARDSHIAN

MWANADADA MLIMBWENDE ,MWANAMITINDO ,MUIGIZAJI NA PIA MCHUMBA WA RAPA KANYE WEST KIM KARDSHIAN AMEZIJIA JUU KAULI ZA MAGAZETI NA MITANDAO YA KIJAMII INAYOZUSHA KUWA MDOGO WAKE KHLOE KARDSHIAN SIO MMOJA WA FAMILIA YA KARDSHIAN,

PIA MAMA YAKE, KRIS KATOA MSIMAMO WAKE KUHUSU HILO KATIKA BLOGI YAKE, LAKIN KUBWA ZAIDI NI NINI KHLOE ANAFIKIRIA KUHUSU HILO.

KIM AKAFUNGUKA "t is a complete waste of time to address these reports every time they print these ridiculous and absurd tabloid stories, but not only are these stories untrue, they’re also unfair to the people who buy the magazines expecting to read accurate reports…"

HAKUISHIA HAPO SABABU HASI9RA HAZIZUIRIKI BAADHI YA MANENO TUMEYATIA KAPUNI KUTOKANA NA TAMADUZI ZETU...
 "These blatant lies are distasteful and shameless,"
 ALIMALIZA  KIHIVYO.
story na christopher gerald

No comments: