Advertise here

Tuesday, January 22, 2013

YA CHRIS BROWN KUJIRUDIA KWA JUSTIN BEIBER

baada ya kubreak na mpenzi wake Selena Gomezi ,msanii ,mwigizaji ,mwandishi, JUstin beiber alipaform nyimbo ya cry me a river ya justin Tmberlake siku chache baada ya kutengana na mpezi wake huyo,

Wiki hii Selejna nae ameamua kujibu kwa kuperform nyimbo hiyo hiyo ya cry me a river ,SWALI KWA WENGI JE YANATAKA KUTOKEA KAMA YA CHRIS BROWN NA RIHANNA,?

Mmoja wa marafiki wa J.B alisema kuwa dogo alipform nyimbo hiyo kumlenga Selena na stilol bado anampenda.

No comments: