Advertise here

Tuesday, February 12, 2013

DIMPOZY ALIPOZINDUA KIOO CHA ME & YOU

Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee baada ya kwenda Nairobi kwa ajili ya utengenezaji wa video yao mpya 'Me n You' chini ya production ya Ogopa video. Sasa usiku wa kuamkia leo Ommy Dimpoz alikuwa akiizindua rasmi video yake mpya kwa mashabiki wake.Huku wakisindikizwa na Mwana FA,Dully sykes,Diamond Platinum.
Hizi ni baadhi ya picha za maisha club katika uzinduzi huo wa video mpya Me n You.
Mtangazaji wa Clouds Tv Ciezer Daniel (KULIA) akiwajibika wakati wa shoo ya uzinduzi wa kichupa cha ngoma me&u cha Ommy Dimpoz ndani ya club Maisha. hapa alikuwa akimuhoji staa wa wimbo huo Ommy Dimpoz

No comments: