Advertise here

Tuesday, February 12, 2013

KAULI YA PAPA KUHUSU KUJIUZURU KWAKE


Jana  kupitia vyombo mbalimbali  vya habari ulimwenguni ilitoka taaraifa kuhusiana na Kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani Pope Bennedict  kutangaza kujiuzuru nafasi hiyo kwa kile kilichotangwazwa kuwa  umri wake kuwa mkubwa hivyo kushindwa kuhimiri  kasi ya baadhi ya majukumu yake.

No comments: