Advertise here

Thursday, March 14, 2013

HEINEKEN KUPELEKA MBONGO KUCHEKI FAINALI YA UEFA 2013



0
.
Heineken Tanzania waliandaa bonge la party lililofanyika Akemi City Centre Dar es salaam kuanzia saa moja usiku march 13 2013 na kufatiwa na utazamaji wa mechi za UEFA moja wapo ikiwa Bayern vs Arsenal, mimi kama mmoja wa walioalikwa… napenda kusema nilienjoy!!
.
Mr Uche ambae ndio boss wa Heineken Tanzania.
.
Warembo waliotumia time yako kuhakikisha watu wanaenjoy kwa kuhudumiwa vitu mbalimbali.
.
E.Kibonde kutoka Jahazi la Clouds FM ndio alikua muongozaji.
.
Team kutoka Push Mobile Tanzania.
.
Brothers and sisters wakienjoy
.
.
Kwa mbali anaonekana mtangazaji Salama Jabir na washkaji akiwemo Patric Nyembera wa EATV
Kwa mbali anaonekana mtangazaji Salama Jabir na washkaji akiwemo Patric Nyembera wa EATV
.
.
.
.
..
..
.
Hivi vilikua sehemu ya party pia, huku watu wakichek mechi ya Bayern vs Arsenal.
.
.
.
.
.
(Salute kwa Abdul Mohamed ambae ndio amepiga hizi picha zote)
. . .

No comments: