Advertise here

Thursday, March 14, 2013

MSANII ALALAMIKIA KUIBIWA JINA


Msanii chipukiz kutoka arusha ...G Ramo alalamika kutumika kwa jina lake ..naanamshutumu jose braiz producer ambaye alihuska kumtengenezea beat ya kibao kinacho iitwa haijalishi ambayo vocal ifanyika fnouk studio arusha...baada ya kutumiwa nyimbo...msanii ambaye yupo chin ya street sound wakaamua kuchakachua jna na kujiita Q Ramo ambalo amechukua kutoka kwa G RaMo

No comments: