Advertise here

Friday, January 18, 2013

CHRIS BROWN &RIHANNA KUTOKA NA SWEETHEARTS

Msanii Mwibaji,Mwandishi,na Mwigizaji  Chris Brown Hivi karibuni Ataachia Ngoma yake mPya inayokwenda Aliyoiita Sweethearts Akimshirikisha Mpenzi wake Rihanna pamoja na RApa Eminem ,

Wawili hao walionekana jana usiku West Hollywood stdio tayari kwa kuanza kazi hiyo ,lakini iliwawalazimu kutengana kuzuia picha za mapaparazi kutowaona haikusaidia.

Pia Rihanna yupo katika harakati za kutayariusha nyimbo mpya atakayo mshirikisha Rapa Eminem inayokwenda kwa jina la "NUMB"

Akizungumzia ushirikiano na rapa huyo mwenye vituko Rihanna alisisema
“I just love working with Eminem. He’s just one of my favorite rappers, and his lyrics – he’s a true poet, and I enjoy that about him.”

hakuishia hapo akaongeza hivi
 “I needed someone who really understands the perspective and the metaphor of the in the song of going numb and being numb to everything around and to say, ‘(expletive) you.’ Eminem is definitely the perfect guy for that.”

alimaliza mkali huyo wa kibao cha Diamonds

Story na Christopher Gerald.

No comments: