Advertise here

Saturday, January 19, 2013

JUSTIN BIEBER KUPELEKWA KWA DAKTARI

Wiki kadhaa baada ya picha za Dogo mwenye mafanikio kunako gemu la muziki JUSTIN BIEBER kusambaa katika mitandao mingi ya kijamii ikimuonesha akivuta widi (bangi) ,
Sasa Mama wa msanii huyo0 amefikia uamuzi wa kutaka kumpeleka mwanae vhuyo kwa wataalamu wa mambio ya saikolojia ,Na kuweza kupatiwa msaada wa kiushauri.

HATA HIVYO KWA UPAND WA MEMBER WA J.B KATIKA STUDIO AZAZOFANYIA KAZI ANASEMA NAO WAKO NJIANI KUCHUKUA HATUA KUHUSU JAMBO HILO.

No comments: