Vijana
wa SKYLIGHT BAND.... Rappa Sony Masamba sambamba na Joniko Flower
taratibu katika miondoko ya Zouk Rhumba. Kikongo na Kizaire kimelala
hapo.
I feel you Girls.....Shabiki anapokunwa na wimbo, hawezi kuvumilia.
Pichani Juu na Chini Sehemu ya Mashabiki wa SKYLIGHT BAND wakiserebuka kwa raha zao.
Vitu adimu kama hivi havikosekani...Wadada warembo wakishow love na pozi matata.
Kipaji
kimelala hapo......Aneth Kushaba AK47 na Sony Masamba wakitoa burudani
kwa mashabiki wa SKYLIGHT BAND katika kiota cha Thai Village Masaki
mwishoni mwa Juma jijini Dar.
Sam Mapenzi, Sony Masamba na Joniko Flower wakiporomosha burudani ya aina yake kwa mashabiki wa SKYLIGHT BAND.
Couples ya Ukweli ndani ya nyumba.
Vijana watanashati hawakosekani.
Mdau King Kif akishow love na mshikaji wake.
Warembo katika pozi na kaka yao....Hatekwi mtu hapa.....
No comments:
Post a Comment