Advertise here

Tuesday, February 12, 2013

CCM YATANGAZA WAJUMBE WAJUMBE 14 WA KAMATI KUU YA CCM

Breaking News: Halmashauri kuu ya CCM(NEC)imewachagua na kuwatangaza wajumbe 14 wa kamati kuu(CC),saba toka Bara na saba toka ZNZ.Baadhi yao ni Steven Wassira,Dk.Anna Tibaijuka,Dk.Hussein Mwinyi na Dk.Salim Ahmed Salim.

No comments: