Advertise here

Tuesday, February 12, 2013

WAZIRI WA ELIMU ATOA KAULI TATA KUHUSU MITIHANI YA KIDATO CHA SITA

Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, naibu waziri wa elimu katika serikali ya JK ametoa mpya ya kufungua mwaka baada ya kuulizwa juu ya maendeleo ya mitihani ya kidato cha sita inayoendelea hivi sasa . Alipoulizwa na kituo cha EATV kupitia kipindi cha HOTMIX, waziri huyo mwenye historia ya kutofahamu vyema historia ya nchi yake alitoa jibu kuwa.....
 
"Sina taarifa yoyote kuhusiana na kuanza kwa mitihani ya kidato cha sita, kwasasa nipo kwenye kikao cha NEC, labda waulizeni waliopo DSM ofisini. Alipoulizwa zaidi aliendelea kusema mimi sijui kuhsuiana na mitihani ya kidato cha sita. Huyu ndie Naibu waziri wa elimu ndugu Mulugo."

No comments: