Advertise here

Tuesday, March 12, 2013

INIESTA :HII NDIO FAINALI YA UEFA 2013

Mchezaji wa Barcelona Andres Iniesta anasema timu yake leo inatakiwa iitumie siku hii ya Jumanne kama ndo fainali katika Champion league ikiwa ni mzunguko wa mwisho wa 16 wakiwa nyumbani wakiwakabili AC Milan. Barcelona inatakiwa watengeneze kwa sababu walifungwa 2 – 0 “Itakuwa ngumu lakini sio kwamba haiwezekani” “Tunatakiwa tucheze kama vile ni fainali hivyo ndivyo invyotakiwa tuweke akili zetu kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho” Alisema Iniesta. Barcelona haijapoteza ikiwa ndani ya Nou Camp toka Octoba 20, 2009, Timu hiyo kutoka Uispania iliifunga AC Miln kwenye msimu wa mwisho robo fainali na mwaka 2005 – 6 kwenye nusu finali.

No comments: